MIAKA SITA si michache kwenye penzi la mastaa, hasa pale linapokuwa limepitia maneno ya watu, mahusiano yaliyopita, ujauzito, ...
KIUNGO wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes amesema Cristiano Ronaldo bado ni alama kubwa zaidi ya ...
MAKOSA ya kipa Ali Athumani, yameigharimu Mafunzo baada ya timu hiyo kuendelea na mfululizo wa matokeo mabaya katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
KIUNGO mshambuliaji wa Tanzania, Ben Starkie anayekipiga Truro City FC inayoshiriki Ligi Daraja la Sita England (National League South) ameanza na mguu mzuri kwenye kikosi cha timu hiyo ...
MASHABIKI wanaotaka hatua kali dhidi ya Manchester City wameanza kuisukuma Liverpool kuongoza mgomo wa ligi nzima, wakitaka ...
TIMU ya Hope City Deaf imefunga msimu kwa kishindo baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi ya Viziwi Zanzibar katika fainali ...
UTANGULIZI “Sasa wewe nenda, siku yoyote ukiona una mpango wa kupata mtu nipigie simu” “Sawa. Sasa utakapoifanya hiyo kazi ...
MSHAMBULIAJI wa Muembe Makumbi City, Bactash Ali Bakari, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trick msimu huu wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
MWAKA 1992 rafiki zangu Denmark walitwaa ubingwa wa Euro katika namna ya kushangaza. Hawakufuzu kwenda katika michuano ...
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Kahramanmaras inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu Uturuki, Ramadhan Chomelo ametoa wito kwa ...
KOCHA wa England, Thomas Tuchel ameisifu timu yake kwa kuonyesha kiwango cha juu baada ya kuichakaza Croatia mabao 7-0 katika mchezo wa Ligi ya Mataifa uliochezwa mwishoni wa wiki jijini Rijeka.
Timu ya FC 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya mchujo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo ...