News

Chris - jina lake limebadilishwa - ameiambia BBC alianza kushiriki katika matumizi ya ulevi wa ngono, ambao ulimsaidia kuficha "aibu" na kuingia kwenye mapenzi ya jinsia moja.
Katika miezi ya hivi karibuni kumekuwa na angalau visa sita vya uvamizi wa polisi dhidi ya tafrija za ngono za umma naza kibinafsi katika mikoa tofauti ya Urusi.