KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia ameanza vyema maisha yake uarabuni baada ya kucheza dakika ...
MABOSI wa KenGold FC wamefikia makubaliano ya kumuajiri aliyekuwa Kocha Mkuu wa Stand United ‘Chama la Wana’, Hussein Rupia, baada ya Jumanne Challe aliyeifundisha msimu wa 2025-2026, kujiunga ...
BEKI wa kati wa IAA SC ya jijini, Arusha, Faisal Richard Mganga amesema ameamua kutafuta changamoto mpya katika maisha yake mapya na kikosi hicho, baada tu ya mkataba wake na KenGold FC ya ...
UONGOZI wa maafande wa Transit Camp, umemrejesha tena kocha mkuu wa timu hiyo, Said Lyakuka kwa ajili ya kukifundisha kikosi hicho kwa msimu huu wa 2026-2027, wa Ligi ya Championship, ...
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Waziri Junior Shentembo anayekipiga Mombasa United ya Ligi Kuu Kenya amesema ligi ya nchi hiyo haina ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ...
KIPIMO cha kwanza cha utimamu wa miamba ya soka la wanawake nchini kimetamatika rasmi baada ya kufungwa kwa pazia la ...
MIAKA SITA si michache kwenye penzi la mastaa, hasa pale linapokuwa limepitia maneno ya watu, mahusiano yaliyopita, ujauzito, ...
KIUNGO wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes amesema Cristiano Ronaldo bado ni alama kubwa zaidi ya ...
MAKOSA ya kipa Ali Athumani, yameigharimu Mafunzo baada ya timu hiyo kuendelea na mfululizo wa matokeo mabaya katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
KIUNGO mshambuliaji wa Tanzania, Ben Starkie anayekipiga Truro City FC inayoshiriki Ligi Daraja la Sita England (National League South) ameanza na mguu mzuri kwenye kikosi cha timu hiyo ...
TIMU ya Hope City Deaf imefunga msimu kwa kishindo baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi ya Viziwi Zanzibar katika fainali ...